Utawala

Je ni maarafa gain tunayo yapata katika biblia juu ya mapangilio. Imeandikwa, Kutoka 18:21 "Zaidi ya hayo utajipatia katika watu hawa walio na uwezo wenye kucha Mungu watu wakweli, wenye mapatano ya udhalimu ukawawekea juu yao wawe wakuu wa maelfu na wakuu wa mia na wakuu wa hamsini na wakuu wa kumi."

Matengenezo ya paswa kuwana na msimamizi. Imeandikwa, Kutoka 39:42-43 "Sawa sawa na yote Bwana aliyomwagiza mwagiza Musa ndivyo walivyoifanya hiyo kazi wana wa Israeli. Musa akaiyona hiyo kazi yote na tazama walikuw awameimaliza vile vile kama Mungu alivyoagiza walikiwa wameifanya vivyo; basi Musa akawaombea heri."

Matengenezo ni zawadi kutoka kwa Mungu. Imeandikwa, Warumi 12:6-8 "Basi kwa kuwa tuna karama mbalimbali kwa kadiri ya neema mliyopewa ikiwa unabii tutoe unabii kwa kadiri ya imani ikiwa hudumuma tuwemo katika huduma yetu mwenye kufundisha katika kufundisha kwake mwenye kuonya katika kuonya kwake mwenye kukirimu katika mwoyo mweupe mwenye kusimamia kwa bidii mwenye kurehemu kwa furaha."

Wasimamizi hufahamu ukingo au uwezo wao. Imeandikwa, Kumbukumbu la torati 1:9 "Nami wakati ule niliwaambia ni kasema siwezi mimi mwenyewe kuwachukua peke yangu."

Msimamizi mwema hupanga mapema. Imeandikwa, Luka 14:28-30 "Maana ninani katika ninyi kama akitaka kujenga mnara asiye keti na kuhesabu karama, kwamba anavyo vya kuumaliza? asije akashindwa baada ya ya kuupiga msingi watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, wakisema mtu huyu alianza kujenga akawa hana nguvu za kuumaliza."