Wakimbiaji

Mungu hutoa ahadi kwa wele wanoa kimbia katika maisha haya. Imeandikwa. Isaya 40:29-31 Huwapa nguvu wazimiao humwongezea nguvu yeye asiye kuwa na uwezo hata vijana watazimia na kuchoka na wanaume vijana wataanguka bali wao wamngogojeao Bwana watapata nguvu mpya watapanda juu kwa mbawa kama tai watapiga mbio, wala hawatachoka wtakwenda kwa miguu, wala hawatazimia."