Home / Masomo ya Biblia / Mafundisho

Mafundisho

Wakristo hutoa wapi mafundisho ya kikiristo? Imeandikwa 2Timotheo3:16 "Kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho na kwa kuonya watu makosa yao na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katika haki;"

Mafunzo ya biblia ya pitizwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine. Imeandikwa 2Timotheo 2:2, "Na mambo yale ulio ya sikia kwangu mbele ya mashahidi wengi, hayo huwa uwakabidhi watu waaminifu watakaofaa kuwafundisha na wengine."