Biblia imekataa kufanya zinaa ya maharimu. imeandikwa Walawi 18:6 "Mtu ye yote aliyewakwenu asmkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu mimi ndimi Bwana."