Home / Kuhusu Bibleinfo.com

Kuhusu Bibleinfo.com

Kazi ya Bibleinfo.com ni kuieneza injili .Bibleinfo.com inajambo la kuzungumziwa, na mafunzo ya bibilia kwa kirefu, pia waweza kupata msaada kwa kuwauliza wasaidizi wetu kuhusu maswali juu ya bibilia.Huduma hii imeshukua utumiaji wa intanet kuwafikia watu juu ya elimu ya bibilia na kikundi cha wasaidizi wanaojua bibilia.Pia katika websait hii waweza kuuliza maswali,maombina kupata ahadi za bibilia zinazo ambatana na maombi yako kwa wasaidizi wetu.Tuna vitu vingine ambazo zimeandikwa katika lugha nyingine .Websait hi ni ya kila mtu kutoka kwa kanisa la seventh-day- advenstist(wadventista).