Maswali Yako ya Biblia Yamejibiwa
Mkusanyiko wa Mada
Mungu hutimiza ahadi zake.
Kabla ya kutumia pesa zako au mazao yako tunapaswa kumpa Mungu sehemu yake kwanza. Imeandikwa, Mithali 3:9 "Mheshimu Bwana Mungu wako kwa mali yako na kwa malimbuko ya mazao yako yote."
Tuna na paswa kufanya nini wakati mauti yako machoni mwetu?