Kujua na kufanya mapenzi ya Mungu, hivi ndiyo kufaulu. Imeandikwa, Yoshua 1:8 "Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako bali yatafakari maneno yake mchana na usiku upate kuangalia kutenda sawa na maneno yote yaliyoandikwa humo maana ndipoutakapoifanikisha njia yako kasha ndipo utakapositawi sana."