Nguvu

Twaweza kumtegemea Mungu awe nguvu zetu. Imeandikwa, Isaya 40:29-31 "Huwapa nguvu wazimiao humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo hata vijana watazimia na kuchoka na wanaume vijana wataaanguka bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya wata pandajuu kwa mbawa kama tai watapiga mbio wala hawatachoka wtakwenda kwa minguu wala hawatazimia." Zaburi 27:1 yasema "Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu nimwogope nani Bwana ni ngome ya uzima wangu nimhofu nani?."