Ogofya

Lazima tusiwe na hofu katika wakati wa kuogofya lazima tuwe na Roho mtakatifu aweze kutuongoza. Imeandikwa 2Timotheo 1:7 "Maana Mungu hakutupa roho ya woga bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi."