Aibu

Twaweza kushinda aibu kwa kutegemea Roho mtakatifu. Imeandikwa, 2Timotheo 1:7 "Maana Mungu hakutupa roho ya woga bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi."