Twakuwa huru kutuka kwa hatia zetu kwa sababu ya Kristo. Imeandikwa, Warui 3:21-22 "Lakini haki ya Mungu imedhihirika pasipo sheria inashuhudiwa na torati na manabii ni haki ya Mungu iliyo kwanjia ya imani katika Yesu kristo kwa wote waaminio maana hakuna tofauti."
Kristo aweza kututole dhamira mbaya ya hatia zetu. Imeandikwa, 1Yohana 3::19-20 "Katika hili tutafahamu ya kuwa tu wakweli nasi tutaituliza ioyo yetu mbele zake ikiwamioyo yetu inatuhukumu kwa maana Mungu ni kuu kuliko mioyo yetu naye anajua yote."
Je! tukumbuke nini wakati tunapokuwa na dhamira ya hatia?. Imeandikwa, Warumi 8:31-39, "basi tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu ni nani aliye juu yetu? yeye aliye washilia mwana wake mwenyewe bali alimtoa kwaajili ya sisi sote je atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye ni nani atakaye weza kuwashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuhesabia haki ni nani atakayewahukumia adhabu? Kristo Yesu ndiye aliye kifa naam na zaidi ya hayo amefufuka katika wafu naye yuko katika mkono wa kuume wa Mungu tena ndiye anaye tuombea."
Amini ya kuwa Mungu amekusamehe dhambi zako new utakuwa huru kutokana na dhamira ya hatia. Imeandikwa, Zaburi 32:1-6 " Heri aliye samehewa dhambi na kusitiriwa makosa yake heri Bwana asiyemhesabia upotovu ambaye roho yake hamna hila niliponyamaza mifupa yangu ilichakaa kwa kuungua kwangu mchana kutwa kwa maana mchana na usiku mkono wako ulinilemea jasho langu likakauka hata nikawa kama nchi kavu wakati wa kaskazi nalikujulisha dhambi yangu wala sikuufisha upotovu wangu nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana nawe ukanisamehe upotovu dhambi yangu kwa hiyo kila mtu mtauwa akuombe wakati unapopatikana hakika maji makuu yafurikapo hayatamfikia yeye."