Islam

Ingawaje jina Islam haiku katika Bibilia Imeandikwa katika hali ya ya kuhusina na watoto wa Israeli kama watoto wa Ibraham walio kaa mashariki Hitoriya ya waislamu yatoka katika ukoo wa Ibrahimu na mwanawe Ishmaeli.

Mtoto wa kwanza wa Ibrahimu aliyepewa na Hejiri mumisiri. Imeandikwa, Mwanzo 16:15 "Hajiri akamzalia mwana wa kiume Ibrahimu akamwita jina lake Ishmaeli, yule mwanawe ambaye hajiri alimzaa." Pia Mwazo17:20 yasema "Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia nimembarikiki nita mzidisha nami nitamwongezea sana sana atazaa maseyedi kumi na wawili nami nitamfanya awe taifaa kuu."

Jina lake Ishmaeli litoka kwa Mungu yamanisha "Mungu amesikia'. Imeandikwa Mwanzo 16:10, 11, "Malaika wa Bwana akamwambia hakika nitauzidisha uzao wako kwamba hautahesabika kwa jinsi utakavyo kuwa mwingi, Malaika wa Bwana akamwambia tazama weweuna mamba utaza mwana wa kiume nawe utamwita jina lake Ishmaeli Bwana amesikia kilio cha mateso yako."

Watoto wa Ishmaeli nawengineo walipewa sehemu ya mashariki. Nao wana fahamika kama watu wa mashariki. Hawa ndio baba zao waarabu Nabii Muhamed kizake chake chaenda hadi Ishmaeli akiwa ni mototo wa kwanza wa Ishmaeli Nabaioth. Imeandikwa, Mwanzo 25:6, 12-18 "Lakini wana wa masuria aliokuwanao Ibrahimu, Ibrahimu akawapa zawadi naye akawaondoa mkatika mahali walipokaa Isaka mwanawe wakati wa uhai wake waende pande za mashariki mpaka nchi ya kedemu. Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli Mwana wa Ibrahimu, ambaye hajiri mmisiri mjakazi wa sara alizalia Ibrahimu na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli an kwa majina yao na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli ni, Nebayothi, na kedari, na abdeeli na, Mibsamu, na Mishma, na Duma, na Masa, na hadadi, na tema na Yeturi, na nafishi, na kedema hao ndio wana wa Ishmaeli na hayo ni majina yao katika miji yao na katika miji yao na katika vituo vyao maseyidi kumi na wawili kwa kufwata jamaa zao. Na hii ndiyo miaka ya maisha ya Ishmaeli miaka mia na thelathini na saba akakata roho akafa akakusanyika kwa watu wake Wakaa toka havila mpaka shuri, unaoelekea misri kwa njia ya kwenda Ashuru akakaa katikati ya ndugu zake wote."

Wale wazee wenye Busara walitoka mashariki kumletea Yesu mane mane. Imeandikwa, Mathayo 2:1, 2, 9,-12 "Yesu alipo zaliwa katika Bethlehemu ya uyahudi zamani za mfalme Herode tazama mamajusi wa mashariki walifika Yerusalemu wakisema yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa wayahudi kwa maana tuliona nyota yake mashariki nasi tumekuja kumsujudia. Nao walipo sikia maneno ya mfalme walishika njia na tazama ile nyota walioiona mashariki ikawatangulia hataikaenda ikasimama mahali alipokuwapo mototo nao walipoiyona ile nyota walifurahi furha kubwa mno. Wakaingia nyumbani wakamwona motto pamoja na mariamu mamaye wakaanguka wakamsujudia na walipokwisha kufungua hazina zao wakamtolea tunu dhahabu na uvumba na manemane nao wakiisha kuonywa na Mungu katika ndoto wasimrudie Herode wakaenda zao kwao kwa njia nyingine."

Wana wa Ishmaeli yasemekana kuwa wateleta utufuku katika nyumba ya Mungu.. Imeandikwa Isaya 60:6, 7 "Wingi wa ngamia utakufunika ngamia vijana wa midiani na Efa wote wakakuja kutoka sheba wataleta dhahabu na uvumbana kuzitangaza sifa za Bwana makundi yote ya kedari yatakusanyika kwako kondoo waume na nebayothi watakutumikia watapanda juu ya madhabahu yangu kwa kibali nami nitaitukuza nyumba ya utukufu wangu." Hao waote ni wana wa Ibrahimu, Waarabu.