Juhudi

Ukereketwa lazima ufanywe kwa kutumia akili na ufahamu. Imenadikwa, katika Warumi 10:2 "Kwa maana nawashuhudia kwamba wana juhudi kwa ajili ya Mungu lakini si katika maarifa."

Juhudi lazima iwe tabia yetu. Imeandikwa katika Warumi 12:11 "Kwa bidii si walegevu mkiwa na juhudi katika roho zenu mkimtumikia Bwana."