Home / Masomo ya Biblia / Kuridhika

Kuridhika

Kuridhika kwa weze kubadili maisha yetu ya kiroho kivipi? Imeandikwa Ufunuo 3:15 "Nayajua matendo yako yakuwa hu baridi wala hu moto ingekuwa heri kama ungekuwa moto au baridi."

Kuridhika kwako wewe mwenyewe kwa kiroho kwaweza kukuharibu. Imeandikwa katika Mithali 1:32 "Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza."