Imeandikwa Matendo ya mitume 5:38-39 "Basi sasa nawaambia jiepusheni na watu hawa waacheni kwakuwa shauri hili au kazi hii ikiwa imetoka kwa binadamu itavunjwa lakini ikiwa imetoka kwa Mungu hamuwezi kuivunja msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu."