Home / Masomo ya Biblia / Mafunzo ya uwongo

Mafunzo ya uwongo

Twawezaje kujizuia na mafunzo ya uongo? Imeandikwa Wakolosai 2:6-7 " Basi kama mlivyompokea Yesu Kristo, Bwana, enendeni hivyo hivyo katika yeye wenye shina na wenye kujengwa katika yeye mmefanywa imara kwa imani kama mlivyofundishwa; mkizidi kutoa shukranani."