Home / Masomo ya Biblia / Matarajio

Matarajio

Mungu anatumaini nini kutoka kwetu? imeandikwa Kumbukumbu la torati 10:12-13 Na sasa Israeli Bwana mungu wako, anataka nini kwako ila umche Bwana mungu wako na kwenda katika njia zake zote na kumpenada nakumtumikia Bwana, Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roro yako yote kuzishika amri za Bwana zote na sheria ninazo kuamru leo upate uheri.?"