Mema

Bali na maovu, Mungu mefanya wema wake imeandikwa Mwanzo 50:20 "Nanyi kweli mlinikusudia mabaya bali Mungu aliyakusudia kuwa mema ili itokee kuokoa taifa kubwa kama ilivyo leo."

Mungu anaweza kutumia madaya kuleta mazuri Imeandikwa Warumi 8:28 "Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema."