Home / Masomo ya Biblia / Uchungu kasirani

Uchungu kasirani

Kushikilia uchungu kwaweza kusababisha shida nyingi. Imeandikwa katika Waebrania 12:15 "Mkiangalia sana mtu asiipungukie neema ya Mungu shina la uchungu lisije likachipuka na kuwasumbua, na watu wengi wakatiwa unajisi kwa hilo."