Home / Masomo ya Biblia / Udhulumu

Udhulumu

Mungu anachukia kudhulumu. Imeandikwa, Kumbukumbu la torati 16:19 "Usipotoe maamuzi, wala usipendelee uso wa mtu wal usitwae rushwa kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya mwenye akili na kugeuza dawa ya mwenye haki."

Mungu anachswa na dhuluma. Imeandikwa, Habakuki 1:3 "Mbona wanionyesha uovu na kunitazamisha ukaidi? maana uharibifu na udhalimu u mbele yangu kuna ugomvi na mashindano yatokea."

Shinda udhuluma kwa kufanya mema. Imeandikwa, Warumi 12:21 "Usishinwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema."