Ulevi

Ulevi waweza kuleta madhara makubwa imeandikwa Medhali 23:29-30, "Ninani apigaye yowe? ninani aliyae ole? ninani mwenye ugomvi? ni nani mwenye mguno? ni nani aliye na jeraha zisizo na sababu? ni nani aliye na macho mekundu? ni wale wakaao sana kwenye mvinyo; waendao kutafuta divai iliyochanganyika."

Bibilia yatupa namna au njia nzuri tofauti na mvinyo Imeandikwa Waefeso 5:18 "Tena msilewe kwa mvinyo ambamo mna ufisadi; bali mjawe Roho."