Ushuru

Yesu alitoa mfano wa kutoa kodi. Imeandikwa, Mathayo 17:27 "Lakini tusije tukawakwa enenda baharini ukatupe ndoana ukatwae samaki yule azukaye kwanza na ukifumbua mdomo wake utaona shekeli."

Yesu alituagiza kulipa kodi. Imeandikwa Mathayo 22:17-21 "Basi utambie waonaje? ni halali kupa kaisari kodiama ama sivyo? lakini yesu akaufahamu uovu wao akasema mbona mnanijaribu, ennyi wanafiki nionyesheni fedha ya kodi nao wakamletea dinari naye akawaambia ni ya nani sanamu hii na amwani hii wakamwambia ni ya kaisari. Akawaambia mlipeni kaisari yaliyo ya kaisari na Munug yaliyo ya Mungu."

Wakristo wapaswa kulipa kodi bila kilazimishwa. Imeandikwa, Warumi 13:5-7 "Kwa hiyo nilazima kutii, si kwa sababu ya ile gadhabu tu il na kwa sababu ya dhamiri kwa sababu hiyo mwalipa kodi kwa kuwa hao ni wahudumu wa Mungu waki dumu katika kazi iyo hiyo wapeni wote haki zao mtu wakodi kodi, mtu wa ushuru, ushuru astahiliye hofu hofu astahiliye heshia heshima."

Je! Biblia yasema nini juu ya kodi ambayo haijalipwa. Imeandikwa, Warumi 13:7-8 "Wapeeni wote haki zao, mtu wa kodi kodi, mtu wa ushuru ushuru... msi wiwe na mtu cho chote isipokuwa kupendana, kwa maana apendaye mwezake ameitiiza sheria."