Zamani

Mambo ya kale yanaweza kutupa msaada siku hizi. Imeandikwa, 1Wakorintho 10:11 "Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano yakaandikwa ilikutuonya sisi, tuliofikiliwa na miisho ya zamani."

Sahao mambo yakuhuzunisha ya zamani. Imeandikwa, Wafilipi 3:13-14. "Ndungu sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika; ila natenda neno moja tu; nikijasahau yaliyo nyuma nikiyachuchumia yaliyo mbele; nakaza mwendo niifikilie mede ya dhawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika yesu Kristo."