Busara

Busara kikitu chamuhimu tunapo fanya uwamuzi imeandikwa Yakobo 1:5 "Lakini mtu kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa mungu awapaye wote kwa ukarimu wala hakemei; naye atapewa."

Twahitaji hekima katika mambo ya kiroho imeandikwa Waebrenia 5:14 "Lakini chakula kingumu nicha watu wazima ambao akili zao kwa kutumiwa zimezoezwa kupambanua mema na mabaya."

Busara huja kwa wele wanyenyekevu imeandikwa Zaburi 25:9 "Wenye upole wataongoza katika hukumu wenye upole watafundisha njia yake."

Mambo ya kiroho ni ya musara. imeandikwa 1 Wakorintho 2:13-14. "Nayo twayanena sikwamaneno ya nayo fundishwa kwa hekima ya kibinadamu bali yanayo fundishwa na roho tukiya fasiri mambo ya kirohoni kwa manano ya kirihoni. Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya roho wa mungu; maana kwake huyo ni upuzi wala hawezi kuya fahamu kwakuwa yatambulikana kwa jinsi ya kirohoni."