Home / Masomo ya Biblia / Habari njema

Habari njema

Habari njema ni habari kuhusu Yesu kristo. Imeandikwa Warumi 1:2-3 "... ambayo Mugnu amekwisha kuiahidi kwa kinywa cha manabii wake katika maandiko matakatifu yani habari za mwanawe aliye zaliwa katika ukoo wa Daudi kwa jinsi ya mwili."

Habari njema ni ipi? Imeandikwa Marko 1:14-15 "Hata baada ya Yohana kutiwa gerezani yesu akaenda galilaya akiihubiri habari njema ya Mungu akisema wakati umetia na ufalme wa Mungu umekaribia, tubuni na kuiamini Injili."