Jirani

Je? tuwe na uhusizano gani na majirani wetu? Imeandikwa, Luka 10:27-28 "Akajibu akasema mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa nguvu zako zote na jirani yako kama nafsi yako. Akamwambia umejibu vema; fanya hivi nawe utaishi."

Je? Inamaana ipi kumpenda jirani yako kama nafsi yako?. Imeandikwa, Warumi 13:9 "Maana kulekusema usizini, usiue, usiibe, usitamani, na ikiwapo mari nyingine yo yote inajumlishwa katika neno hili yakwamba mpende jirani yako kama nafsi yako."