Kemea

Kukemea kwaweza kuwa somo kwa watoto. Imeandikwa, Mithali 29:15, "Fimbo na maonyo hutia hekima bali mwana aliyeshiliwa humwaibisha mamaye."

Kukeme kwingi kwa weza pia kumharibu mtoto. Imeandikwa, Wakolosai 3:21 "Ninyi akina baba msiwachokoze watoto wenu wasi je wakakataa tamaa."

Kusudi la kuwakemea watoto nikuwajenga si kuwa fanya wawe na hasira. Imeandikwa, Wefeso 6:4 "Ninyi akina baba msiwachokoze watoto wenu bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana."