Kujitoa

Kunyenyekea katika uongozi wa Kristo, ndiyo kiini cha ukristo. Imeandikwa, Luka 14:27 "Mtu ye yote asiyechukuwa msalaba wake na kuja nyuma yangu hawezi kuwa mwanafunzi wangu."

Kunyenyekea ndiyo ufunguo wa ndoa njema. Imeandikwa, 1Wakorintho 11:3 "Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo na kichwa chamwanamke ni mwanamme na kichwa na Kristo ni Mungu."

Kunyenyekea katika bibilia ni kuwa sawa sawa sio kuwa chini au mtumwa. Imeandikwa, Wefeso5:21 "hali mnanyenyekeana katika kicho cha Kristo."