Home / Masomo ya Biblia / Kukumbuka

Kukumbuka

Kumbuka jinsi Mungu amekuwa nasi tangu awali Imeandikwa, Kumbukumbu la torati 8:2 "Nawe utaikumbuka njia yote Bwana Mungu wako aliyokuongoza miaka hii arobaini katika jangwa ili akutwe kukujaribu kuyajua yaliyo moyoni mwako kwamba utashika amri zake au sivyo."
kumbuka kufanya Munug kuwa wakwanza katika maisha yako ya ujana. Imeandikwa, Mhubiri 12:1 "Mkumbuke muumba wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku lizizo mabya wala haijakaribia miaka utakaposema mimi sina furaha katika hiyo."

Kumbuka siku ya Bwana takatifu Kutoka 20:8-10 "Ikumbuke siku ya Sabato uitakase Siku sita etende mambo yako yote lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana Mungu wako..."