Home / Masomo ya Biblia / Kutotunza

Kutotunza

Kutomjali Mungu na Neno lake kwadhuru maisha. Imeandikwa, Mathayo 7:26 "Nakila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye atafananishwa na mtu mpumbavu aliyejenga nyumba yeke juu ya mchanga."
Kutotunza sheria za Mungu ni kuto tii. imeandikwa, Marko 7:9 "Akawaambia vema waikataa amri ya Mungu mpate kuyasikia mapokeo yenu."

Kutofanya lililo kamili au jema ni kama kufanya dhambi. Imeandikwa, Yakobo 4:17 "Basi yeye ajuaye kutenda mema wala hayatendi kwake huyo ni dhambi."