Mamlaka

Mungu ni mkuu kuliko ufahamu wetu. Imeandikwa, Ajubu 36:26 "Tazama Mungu ni mkuu nasi hatumjui hesabu ya miaka haitafutiki."

Mamlaka ya Mungu ni ya kutuelimisha. Imeandikwa, Ayubu 37:23 "Yeye mwenyewe hamwezi kumwona yeye ni mkuu mwenye uweza tena mwenye hukumu na mwikngi wa haki hataonea."

Mamlaka yya Mungu yenye upendo ya enea kote katika maisha yetu. Imeandikwa, Warumi 8:38-39." Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba wala mauti wala uzima, wala malaika wala wenye mamlaka wala yaliopo wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo wala yaliyo juu wala yaliyo chini wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika kristo Yesu Bwana Mungu wetu."