Matokeo

Twaweza kuwa na matokeo mema tunapo kaandani yake Yesu Kristo. Imeandikwa Yohana 15:4 "Kaeni ndani yangu nami ndani yenu, kama vile tawi lisivyo weza kuzaa peke yake lisipokaa ndani ya mzabibu kadhalika nanyi msipokaa ndani yangu."

Ni matunda ya namna gani ambayo mungu anatazamia kwetu?. Imeandikwa Wagalatia 5:22-23 "Lakini tunda la Roho ni, upendo, furaha, amani uvumilivu, utuwema, fadhili, uwaminifu, upole kiasi, juu ya mambo kama hayo hakuna sheria."

Anayo panda mtu hapa duniani huyavuna. Imeandikwa Wagalatia 6:7 "Msidanganyike Mungu hadhihakiwi kwakuwa cho chote mtu apandacho mtu, ndicho atakachovuna."

Mtu hujulikana kwajinsi anavo ishi maiyake imeandikwa Mathayo 7:20 "Ndipo kwa matunda yao mtawatambua."