Home / Masomo ya Biblia / Meza ya Bwana

Meza ya Bwana

Meza ya Bwana inamaana gani? Imeandikwa, Mathayo 26:26-28 "Nawalipo kuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega akawapa wanafunzi wake, akasema twaeni mle huu ndio mwili wangu. Akakitwaa kikombe akakishukuru akawapa akisema nyweni nyote katika haki kwa maana hi ndiyo damu yangu ya agano imwagikayo kwa ajili ya wengi kwa ondoleo la dhambi."

Pasaka inatukumbusha kuwa Yesu alikufa kwa dhambi zetu na kwa niaba yetu. Imeandikwa 1Wakorintho 11:26 "Maana kila mwulapo mkate huu na kukinyea kikombe hiki mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo."