Tamaa yawezaa kuleta uasi. Imeandikwa Yakobo 4:1-2 "Vita vyatoka wapi, na mapigano yaliyoko kati yenu yatoka wapi? Sihumu katika tamaa zenu zifanyazo vita katika viungo vyenu? mwatamani wala hama kiti mwauwa na kuona wivu wala hamwezi kupata mwafanya vita na kupigana wala hamna kitu kwa kuwa hamombi."
Utajiri waweza kutupa mafikara mabaya kuhusu mali. Imeandikwa Luka 12:15 "Akawaambia angalieni julindeni na choyo mana uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu vyake alivyo navyo."
Kupenda pesa huleta mabaya. Imeandikwa 1Timotheo 6:10 "Maana shina moja la mabaya ya kila namna nikupenda fedha ambayo wengine hali wakiitamani hiyo wamefarakana na imani na kujichoma kwa maumivu mengi."