Unyofu

Ukamilifu ni jinsi tulivyo. Imeandikwa, Zaburi 25:21 "Ukamilifu na unyofu zinihifadhi maana na kuongoja wewe."

Kuwa na mali hufanya ukamilifu kuwa mgumu. Imeandikwa, Luka 16:10-11 "Aliyemwaminifu katika lililo dogo sana huwa mwaminifu katika lililo kumbwa pia basi kama ninyi hamkuwa waaminifu katika mali ya udhalimu ninani atakaye wapa amana mali ya kweli."