Upaji

Mungu hupendezwa na mtu ambye ni mpaji imeandikwa Kutoka 35:22 "Nao wakaja waume kwa wake wote walio kuwa na moyo wa kupenda wakaleta vipini na hazama na pete za muhuri na vikuku na vyombo vyote vya dhahabu kila mtu aliyetoa toleo la dhahabu la kumpa Bwana."

Mungu hufurahi wakati tunapo toa kwa moyo mwema imeandikwa Ezra 2:68-69 " Na baadhi ya wakuu wa mbari za baba zao hapowalipoifikia nyumba ya Bwana iliyo Yerusalem walitoa mali kwa ukarimu kwa ajili ya nyumba ya Mungu ilikuisimamisha mahali pake; wakatoa kadiri ya walivyo weza na kutia katika hazina ya kazi hiyo dorkani za dhahabu sitini na moja elfu na mane za fedha elfu tano na mavazi mia ya kubahani."

Mungu hufurahiswa na wano toa mara kwa mara imeandikwa 2Wakorintho 8:2 "Maana walipo kuwa wakijaribiwa kwa dhiki nyingi wingi wafuraha yao na umaskini wao ulikuwa mwingi uliwaongezea utajiri wa ukarimu wao."

Utoaji wa ukarimu huhitaji mapangilio na kujiandaa imeandikwa Walawi 19:9-10 "Na mtakapo vuna mavuno ya nchi yanu usivune kabisa kabisa pembe la shamba lako wala usiyakusanye masaso ya mavuno yako wala usiyakusanye masaso ya mizabibu yako wala usiyaokote matunda ya mizabibu yako yalio pukatika uyaache kwa ajili ya maskini na mgeni mimi ndimi BWANA Mungu wenu."

Upaji waweza kuwa namna moja ya kumwabudu mungu. Imeandiikwa Mathayo 2:11 "Wakaingia nyumbani wakamuona mtoto pamoja na mariamu mamaye wakaanguka wakamsujudia nao walipokwisha kufungua hazina zao wakamtolea tunu na dhabu na uvumba na manemane."

Zawadi nivema zipewe kwa moyo mwema 2Wakorintho 9:7 "Kila mtuna atende kwa alivyokusudia moyoni mwake sikwa uzuni wala kwa lazima maana Mungu hupenda mtu atoaye kwa moyo mkunjufu."

Mtu atoe kama awzavyo imeandikwa 2Wakorintho 8:12 "Maana kama nia ipo hukubaliwa kwa kadiri ya alivyo navyo mtu si kwa kadiri ya asivyo navyo."

Imeandikwa Luka 12:48 "Nayule asiyejua naye ameyeamefanya yastahiliyo mapigo, atapigwa kidogo nakila aliye pewa vingi kwake huyo vitatakwa vingi naye aliyemwekea amana vitu vingi, kwake huyo watataka na zaidi."

Kutoa sadaka na zaka huonyesha baraka za Mungu. imeandikwa Malaki 3:8, 10 "Je? Mwanadamu atamwibia Mungu? lakini ninyi mnaniibia mimi, lakini ninyi mwasema tumekuibia kwa namna gani? mmeniibia kwa zaka na dhabihu leteni zaka kamili galani ilikiwemo chakula katika nyumba yangu mkanijaribu kwa njia hiyo asema Bwana wa majeshi mjue kama sita wafungulia madirisha ya mbinguni na kuwamwagiebni baraka hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la."

Unapotoa kwa moyo mkunjufu mibaraka ile hukurudia wewe. Imeandikwa Luka 6:38 " Wapeni watu vitu nanyi mtapewa kipimo cha kujaa na kuchindiliwa na kusukwa-sukuwa hata kumwagika ndicho watu watakacho wapa vifuani mwenu kwa kuwa kipimo kile kile mpimacho ndicho ndichimtakachopimiwa."

Mungu ndiye Ufano bora wakutoa imeandikwa Yohana 3:16 " Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe pekee ilikila amwaminiye asipokee, bali awe na uzima wa milele."