Wajane

Tunahitajika kuwasaidia wajane. Imeandikwa 1Timotheo 5:3-7 "Uwaheshimu wajane walio wajane kweli kweli lakini mjane akiwa ana watoto au wajukuu na wajifunze kwanza kuyatena yaliyo wajibu wao kwa jamaa zao wenyewe na kuwalipa wazazi wao kwa kuwa hili lakubalika mbele za Munugu. Basi yeye aliye jane kweli kweli, ameachya pekeyake huyo amemwekea Mungu tumaini lake, naye hudumu katika maombi na sala mchana na usiku bali yeye aliye jizuia nafsi yake amekufa ingawa yu hai mambo hayo pia uyaagize, ili wasiwe na lawama."

Dini ya kweli huwafikia wenye wahitaji. Imeandikwa, Yakobo 1:27 "Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii kwenda kuwatazaa yatima na wajane katika dhiki yao na kujilinda na dunia pasipo mawaa."