Deni

Ni madeni yapi tunapaswa kujushugulisha nayo? Imeandikwa Warumi 13:8 "Msiwiwe na mtu cho chote isipokuwa kupendana; kwa maana ampendaye mwenzake ameitimiza sheria."

Lipa madeni kwa wakati wake. imeandikwa Methali 3:27-28 " Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda. Usimwambiye jirani yako, nenda urudi halafu, nakesho nita kupa; nawe unacho kitu kile karibu nawe."

Huna uhuru ikiwaunalo madeni. Imeandikwa Mithali 22:7 "Tajiri humtawala maskini, naye akopaye nimtumwa wake akopeshaye."