Desturi

Nilazima kubadilisha mazoea au desturi maya naye Mungu atatusaidia imeandikwa 1 Yohana 3:9 "Kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi kwa sababu ukao wake wakaa ndani yake, wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa kutokana na Mungu."

Tusipende tabia mbaya. Imeandikwa Kumbukumbu la torati 12:2-3 "Vunjeni kabisa mahali pote walipokuwa wakiiomba miungu yao mataifa mtakayoyamiliki juu ya milima mirefu na juu ya vilima na na chini ya kila mti wenye majani mabichi nanyi zivunjeni madhabahu zao zibomoeni nguzo zao na maachera zao yateketeni kwa moto na sanamu za kuchonga za miungu yao zikateni na jina lao lifutilieni mbali na mahali hapo."

Maisha yako ya jawe na mambo mema imeandikwa Tito 2:7 "Katika mambo ukijionyesha wewe mwenyewe kuwa kielelezo cha matendo mema na katika mafundisho yako ukionyesha usahihi na ustahivu." Yafanye mawazo yako kufikiri mambo mema imeandikwa Wafilipi 4:8 "Hatimaye ndugu zanguni mambo yote yaliyo ya kweli yote yaliyo staha yo yote yaliyo ya haki yo yote ya liyo ya safi yo yote yenye kupendeza yo yote yenye sifa njema ukiwapo wema wo wote ikiwapo sifa nzuri yo yote yatafakarani hayo."

Nimazoea yapi mema tunayoanza na kuyadumisha? Imeandikwa Kumbukumbu la torati 14:22Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maogeo yote ya mbegu zako yatokayo shambani mwaka baada ya mwaka."

Mazoea kamavile Yesu alivyo kuwa, kuabudu Mungu Imeandikwa Luka 4:16 "Akaenda Nazareti hapoalipo zaliwa na siku ya sabatu akaingia katika sinagogi kamailivyo desturi yake akasimama iliasome." Maombi ni desturu njema imeandikwa Mathayo 6:5 "Tena kamamsalipo msiwe kama wanafiki kwa maana wao wamependa kusali hali wamesimama katika masinagogi na katiak pembe za njia iliwaonekane na watu amini na waambia wamekwisha kupata dhawabu yao."