Dunia

Lazima tuonyeshe mwenendo mwema katika dunia hii tunayoishi. Imeandikwa katika Mathayo 5:13-14 "Kwa sababu hii anasema nao kwa mifano kwa kuwa wakitazama hawaoni na wakisikia hawasikii wala kuelewa na na neno la nabii isaya linatimia kwao likisema kusikia mtasikia wala hamtaelewa kutazama mtatazama wala hamtaona."

Kristo anataka tuwe tofauti na walimwengu. Imeandikwa katika Yohana 17:15 "Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu bali uwalinde na yule mwovu."