Falsafa

Elimu za watu au ubusara wa watu waweza kuiagamiza imani yako. Imeandikwa, Wakolosai 2:8 "Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu wala si kwa jinsi ya Kristo."