Kawaida

Mungu huwashagua watu wa kawaida kufanya kazi yake. Imeandikwa, 1Wakorintho 1:27 "Bali Mungu aliyechangua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hakima tena Mungu alivichagua vitu vidhaifu vya dunia ili aviaibisha venye nguvu."