Home / Masomo ya Biblia / Kongozwa na mungu

Kongozwa na mungu

Kuongozwa na roho mtakatifu kunamanisha nini kulingana na biblia imeandikwa 2Timotheo 3:16 "Kila anadikolenye pumzi ya Mungu lafa kwa mafundisho na kwa kuonya watu makosa yao na kwa kuwaongoza na kwa kuwaadibisha katika haki."

Mungu ndiye aliye anaye nena katika biblia. Imeandikwa 2Petro 1:20-21 "Mkijua neno hili kwanza ya kwamba hakuna unabii katiak maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu Fulani tu maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya wanadamu bali wanadamu wali nena yaliyotoka kwa Mungu wakiongozwa na Roho mtakatifu."