Home / Masomo ya Biblia / Kujistahi

Kujistahi

Kujistahi kwetu kwa tokana na Mungu. Imeandikwa, Zaburi 8:3-5 "Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, mwezi na nyota ulizoziratibisha mtu ni kitu gain hata umkumbuke na binadamu hata umwangalie?. Umemfanya kidogo punde kidogo kuliko Mungu umemvika taji ya utukufu na heshima."

Mungu anatudhamini kulingana na tabia yake na siyetu. Imeandikwa, Zaburi 113:7-8 "Humwinua mnyonge kutoka mavumbini na kumpandisha maskini kutoka jaani. Amketishe pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake."

Mungu anatudhamini na huwatukatika mawazo yake siku zote. Imeandikwa, Zaburi 139:17-18 "Mungu fikara zako zina dhamani nyingi kwangu jinsi ilivyo kubwa jumla yake kama ningezihesabu ni nyingi kuliko mchanga niamkapo nikali pamoja nawe."

Tu wadhamani kwa Mungu. Imeandikwa, Luka 12:6-7 "Je! Mashomoro watano hawauzwi kwa senti mbili? wala hasahauliwi hata mmojawapo mbele za Mungu. lakini nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote msiogope bora ninyi kuliko mashomoro wengi."

Kujiona kwetu kuwe kwa Kristo. Imeandikwa, Warumi 12:3 "Kwa maana kwa neema niliyo pewa na mwambia kila mtu aliyeko kenu asinie makuu kulipa ilivyo mpasa kunai bali awe na nnia ya kiasi kama Mungu alivyomgawia kila mtu kiasi cha imani."