Kukua kwa kiroho huanza na shemu ndogo kisha kukua na kuelewa mabo magumu. Imeandikwa Waebrania 6:1 "Kwa sababu hiyo tukiacha kuyanena mafundisho ya kwanza ya Kristo tukaze mwendo ili tuufikilie ukamilifu tusiweke msingi tena wa kuzitubia kazi zisizo na uhai na wakua na imani kwa Mungu."."
Kukua kwa kiroho ni kwa muda na kufanya tuwashe tamaa zetu nyuma. Imeandikwa, 1Wakorintho 3:1-4 Lakini ndungu zanguni mii sikuweza kusema nanyi kama na watu wenye tabia ya rohoni, kama na watu wenye tabia ya mwilini kama na watu wachanga katika kristo naliwanwesha maziwa sikuwalisha chakula kwa kuwa hamjakiweza naam hata sasa hamkiwezi kwa maana hata sasa ninyi ni watu wa tabia ya mwilini maana ikiwa kwenyu kuna usuda na fitina, je! Si watu wa tabia ya kimwilini ninyi tena mnaenda na tabia ya kibinadamu? Maana hapo mtu mmoja asemapo mimi ni wa Paulo na mwingine ni wa Apolo je ninyi si wanadamu?."
Ukuiwaji wa kiroho huweka mambo ya kitoto kando. Imeandikwa, 1Wakorintho 13:11 "Nilipokuwa mtoto mchanga nalisema kama mtoto mchanga, nalifahamu kama mtoto mchanga, nalifikiri kama mtoto mchanga tokea hapo nilipokuwa mtu mzima nimeyabatilisha mambo ya kitoto."