Kupotea

Tumepote, je Mungu anafanya nini kuhusu kupotea kwetu? Imenadikwa, Isaya 53:6 "Sisi sote kama kondoo tumepotea, kila mmjo amegeukia njia yake mwenyewe na Bwana ameweka juu yake maovu yetu sisi sote."

Hata ingawa tumepotea sisi tu wadhamani kuu mbele zake Mungu. Imeandikwa, Luka 15:7 "Nawaambia vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi atubuye, kuliko ajili ya mwenye haki tisini na kenda ambao hawana haya ya kutubu."