Home / Masomo ya Biblia / Kutowezekana

Kutowezekana

Hakuna kitukigumu mbele za Mungu Imeandikwa Luka 18:27 "Akasema yasiyowezakana kwa binadamu yawezekana kwa Mungu."

Tukiwa na imani kilakitu chawezekana. Imeandikwa Marko 9:23 "Yesu akamwambia, ukiweza, yote yawezakana kwa aaminiye."