Home / Masomo ya Biblia / Mambo Madogo Madogo

Mambo Madogo Madogo

Mungu anatutazamia tuwe watu waangalifu katika maisha yetu imeandikwa Luka 16:10 "Aliyemwaminifu katika lililo dogo sana huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia na aliye dhalimu katika lililo dogo huwa dhalimu katika lililo kubwa pia."

Mambo madogo madogo ni yamuhimu imeandikwa Wimbo ulio bora 2:15 "Tukamatie mbweha wale mbweha walio wadogo, waiharibuo mizabibu, maana mizabibu yetu yachanua."