Maongeo

Mazungumzo ni ya maana ikiwa ni ya kusifu au kutukuza. Imeandikwa katika Wakolosai 4:6 "Maneno yenu yawe ya neema siku zote yakikolea munyu mpate kujua jinsi iwapasavyo kujibu kila mtu."

Kusikiliza vema hufanya mazungumzo yenye maana. Imeandikwa katika Yakobo 1:19 "Hayo mnajua ndungu zangu wapenzi. Basi kila mtu awe mwepesi wa kusikia bali si mwepesi wa kusema wala kukasirika."