Home / Masomo ya Biblia / Mapatano

Mapatano

Mapatano ya weza kuleta tumaini katika huhusiano. Imeandikwa, Filemoni 1:15-16 "Maana labda ndiyo sababu alitengwa nawe kwa muda ili uwe naye tena milele tokea sasa sikama mtumwa bali zaidi ya mtumwa, ndugu mpendwa; kwangu mimi sana na kwako wewe zaidi sana katika mwili na katika Bwana."

Mapatano ndiyo ndiyo kiini cha injili. Imeandikwa 2Wakorintho 5:18-19 Lakini vyote pia vyatokana na Mungu alivyotupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo Yesu naye alitupa huduma ya upatanicho yani Mungu alikuwa ndani ya Kristo akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake asiwahesabie makosa yao naye ametia ndani yetu neno laupatanisho."

Mapatanisho huponya uhusiano uliovunjika. Imeandikwa, Mathayo 18:15 "Nandugu yako akikukosea enenda ukamuonye yeye na wewe peke yenu akikusikia umepata nduguyo."